Matthew 5:39-40

39 aLakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40 bKama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Copyright information for SwhKC